DUUH...! PIGO JIPYA KWA LIVERPOOL
Staa wa kimataifa wa Senegal na Liverpool Sadio
Mane, yupo kwenye hatari ya kukosa mechi zote zilizo salia katika msimu huu, baada
ya kupatwa na Jeraha katika goti mara baada ya mchezo Wa ligi kuu England ‘EPL’
dhidi Evarton uliopigwa Jumamos iliyopita katika dimba la Anfild ambapo
Liverpool ilipata ushindi wa 3-1 huku Mane akitolewa nje katika dakika ya 57 ya
mchezo.
No comments