Rais wa Hungary apitisha sheria tata ya elimu
Rais wa Hungary
Janos Ader ameiridhia sheria mpya kuhusiana na taasisi za kigeni katika
elimu ya juu, licha ya siku kadhaa za maandamano.
Wapinzani
wanasema sheria hiyo imeundwa ili kuharibu chuo kikuu cha kati ya ulaya
,ambacho kina fadhiliwa na raia wa Marekani bilionea George Soros,
mkosoaji wa upande wa mrengo wa kulia wa waziri mkuu Viktor Orban.
No comments