THABO MBEKI AWAUNGA MKONO WAPINZANI WA ZUMA
Aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Thabo Mbeki anawataka wabunge wa chama cha ANC kutenda yatakayowafaa raia na sio kile kitakachofaidi chama, wakati wa kujadili mswada wa kutokuwa na imani na rais Jacob Zuma, wiki ijayo.
No comments