TRUMP KUIUZIA NIGERIA NDEGE ZA KUWADHIBITI BOKO HARAMU
Utawala wa Trump una mipango ya kuuza ndege za kivita kwa Nigeria licha ya kuwepo wasiwasi unaohusu ukiukaji wa haki za binadamu kufuatia shambulizi la ndege ambalo liliwaua raia kadha mwezi Januari.
No comments